Skip to main content

Watoa misaada ya kibinadamu wathaminiwe: Osembo

Watoa misaada ya kibinadamu wathaminiwe: Osembo

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu,  jamii inapaswa kuwathamini watoa misaada ili kufanikisha kazi hiyo ngumu katika mazingira ya migogoro,  amesema Mtaalamu mwenza wa menejimenti ya mpangokatika ofisi ya Umoja wa Mataifa ya misaada ya kibinadamu OCHA Sarah Osembo.

Katika mahojiano maalum na idhaa  hii Bi Osembo amesema licha ya umuhimu wa wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu lakini kumekuwa  na mtizamo hasi kwao kwa hivyo.

(SAUTI SARAH)

Afisa huyo wa OCHA amesema katika majanga ya asili wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu hupewa ushirikiano,  lakini katika majanga ya kibinadamu hususani  migogoro huwa tofauti.

(SAUTI SARAH)