Uhimilishaji watumiwa kuboresha mifugo Tanzania
Mifugo ni moja ya vyanzo vya mapato na usalama wa chakula kwa jamii nyingi hususani katika nchi zinazoendelea mathalani Tanzania ambapo katika kufanikisha hilo mpango wa upandikizi wa mbegu za kizazi kwa njia za kisasa au uhimilishaji hutumika.
Katika makala ifuatayo Amina Hassan anaeleza namna uhimilishaji unavyofanyika na manufaa yake kwa wafugaji. Ungana naye