14 Agosti 2015
Wiki hii kumefanyika tamasha maalum la amani kwenye Umoja wa Mataifa kwa lengo la kupaza sauti kwa ajili ya amani. Joshua Mmmali alikuwa shuhuda wetu, basi ungana naye katika makala hii ili upate kufahamu yaliyojiri.