Skip to main content

Uhaba wa fedha wakumba huduma za elimu Palestina

Uhaba wa fedha wakumba huduma za elimu Palestina

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina(UNRWA) limeonya kuwa uhaba wa fedha huenda itailazimu kushindwa kufungua shule zake 700 mwezi wa nane.

Iwapo dola milioni 101 hazitapatikana haraka, wanafunzi nusu milioni wanaweza kunyimwa haki ya kuendelea na masomo yao.

Kulikoni? .

Ungana na Priscilla Lecomte kwenye makala hii.