31 Julai 2015
Nchini Nepal baada ya athari za tetemeko la ardhi, usaidizi ukiwemo wa kisaikolojia, kwa kupitia vikundi maalumu vya maonyesho, ambapo sanaa ya maigizo na uchekeshaji vinatumika kuwaliwaza raia hususan watoto.
Joseph Msami amekuandalia makala hii, ungana naye.