Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tunanusuru shule zilizokumbwa na majanga: UNESCO

Tunanusuru shule zilizokumbwa na majanga: UNESCO

Katika kuinua kiwango cha elimu ya msingi, shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamdauni UNESCO nchini Tanzania linatekeleza miradi ya kunusuru shule zilizokumbwa na majanga kadhaa .

Katika mahojiano na idhaa hii Katibu mtendaji wa tume ya taifa ya shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNECSO nchini Tanzania Dkt. Moshi Kiminzi amesema dhima ya UNESCO ni kusaidia nchi wanachama ambazo hukumbwa na majanga mathalani shuleni na akatoa mfano

(SAUTI DK KIMINZI)