Skip to main content

Wapanda mlima Kilimanjaro kusadia watoto

Wapanda mlima Kilimanjaro kusadia watoto

Wakiongozwa na Umoja wa Mataifa na taasisi ya Nelson Mandela watu mbalimbali wakiwamo wanamuziki na wacheza sinema wanatarajiwa kupanda mlima Kilimanjaro nchini Tanzania hii leo lengo likiwa ni usaidizi kwa watoto.

Akihojiwa na Stella Vuzo, ambaye ni Afisa wa habari wa kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa, UNIC, Tanzania Waziri wa maliasili na  utalii wa nchi hiyo Lazaro Nyalandu  anaelezea safari hii ya kitalii.

(SAUTI LAZARO)