UNICEF, washirika waunda kikosi kazi kuwezesha usafi kambi ya wakimbizi Nyarugusu Tanzania

7 Julai 2015

Milipuko ya magonjwa ukiwamo ugonjwa wa kipindupindu ni miongoni mwa matokeo ya idadi kubwa kupita uwezo katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma ambako ili kukabiliana na magnjwa na changamoto nyingine kikosi kazi cha usafi kimeanzishwa.

Kufahamau namna kikosi kazi hicho kinavyofanya kazi na uwezo wake katika kutatua changamoto za usafi. Ungana na Joseph Msami

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter