Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF na wadau wahaha kunusuru watoto Yemen

UNICEF na wadau wahaha kunusuru watoto Yemen

Yemen! Taifa ambalo tangu mwezi Machi limeingia katika sintofahamu ya migogoro ya ndani hivyo kusababisha udumavu wa huduma za kijamii na kibinadamu .

Hali hii imesababisha jumuiya ya kimataifa chini ya mashirika ya Umoja wa Mataifa ikiwamo lile la kuhudumia watoto UNICEF kusaidia katika misaada ya kibinadamu ili kunusuru raia hususani watoto ambao wengi wao hujikuta katika hatari za kiafya.

Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo..