Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi Burundi watakiwa kutojihususiha na siasa: UNHCR

Wakimbizi Burundi watakiwa kutojihususiha na siasa: UNHCR

Kueleka siku ya wakimbizi duniani  June 20 shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR nchini Burundi limesema litatumia maadhimisho hayo kufikisha ujumbe kwa wakimbizi wasio raia kutojiingiza katika siasa na masuala ya kuhatarisha utulivu kwa ujumla.

Katika mahojiano na idhaa hii mwakilishi mkazi waUNHCR nchini Burundi Abel Mbilinyi amesema taifa hilo likielekea katika uchaguzi mkuu wakimbizi wanapaswa

(SAUTI MBILINYI)

Kadhalika amesema kuwa hali ya utulivu nchini humo imeimarika hivi sasa hatua iliyowezesha wakimbizi waliokuwa wamekimbia kurejea nchini.

(SAUTI MBILINYI)

Burundi huhifadhi wakimbizi kutoka nchi kadhaa ikiwamo Jamhuri ya Kidemokarasia yaKongo DRC na Rwanda.