WFP Uganda yaomba msaada wa wahisani kulisha wakimbizi kutoka Burundi

15 Juni 2015

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) nchini Uganda linasema kuwa, litahitaji ufadhili mpya mwishoni mwa mwaka huu, kutokana na ongezeko la wakimbizi hasa wanaokimbia vurugu za kisiasa nchini Burundi ambazo zimesababisha maelfu kukimbilia nchi jirani. Maelezo zaidi, na John Kibego.

(Taarifa ya Kibego)

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter