Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sisi siyo mizimu bali ni binadamu kama wengine: Mbunge Al Shaymaa

Sisi siyo mizimu bali ni binadamu kama wengine: Mbunge Al Shaymaa

Kuelekea siku ya kuelimisha umma kuhusu haki za watu wenye ulemavu wa ngozi duniani kesho tarehe 13, mbunge wa Tanzania Al Shaymaa J. Kwegyir ametaka jamii  ibadili mtazamo juu yao ili kuepusha madhila wanayokumbana nayo kundi hilo hivi sasa.

Akihojiwa na idhaa hii kwa njia ya simu, Al Shaymaa ambaye pia ni mlemavu wa ngozi, anataja madhila aliyokumbana nayo shuleni..

(Sauti ya Al Shaymaa)

Akatoa wito kwa jamii..

(Sauti ya Al Shaymaa)