Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNAMID yaishukuru Sudan kwa kuyakomboa magari yake yaliyotekwa

UNAMID yaishukuru Sudan kwa kuyakomboa magari yake yaliyotekwa

Serikali ya Sudan imeyakomboa magari ya Ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika, UNAMID, ambayo yalikuwa yametekwa na watu wenye silaha wasiojulikana mnamo Juni 2, 2015.

Magari hayo yalitekwa wakati yakisafirishwa na mwanakandarasi ambaye UNAMID imesema alikwenda kinyume na maagizo ya ujumbe huo kuwa asisafirishe magari hayo bila ulinzi wa askari wa UNAMID waliojihami.

Luteni Jenerali Paul Mella ni Kamanda Mkuu wa vikosi vya UNAMID anafafanua zaidi.

(Sauti ya Lt. Jenerali Mella)

Na kwa mantiki hiyo hivi sasa UNAMID..

(Sautiya Lt. Jenerali Mella)