Skip to main content

Somalia iheshimu zaidi haki za binadamu: Tom Nyanduga

Somalia iheshimu zaidi haki za binadamu: Tom Nyanduga

Mtalaam huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Somalia, Tom Nyanduga, ameisihi serikali ya Somalia kuchukua hatua zaidi ili kulinda na kuheshimu haki za binadamu nchini humo, wakati huu akiipongeza serikali kwa kuimarisha hali ya usalama na ya kisiasa.

Amesema hayo katika taarifa iliyotolewa leo baada ya kumaliza ziara yake ya pili nchini humo.

Akihojiwa na idhaa hii Bwana Nyanduga amesema ni vyema kuheshimu zaidi wakati huu kwa kuwa alichoshuhudia..

(Sauti ya Nyanduga-1)