Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtambo wa kushughulikia taka ya mafuta wazinduliwa Uganda

Mtambo wa kushughulikia taka ya mafuta wazinduliwa Uganda

Uzalishaji wa mafuta huhatarisha mazingira ikiwa teknologia ya juu haitumiwi kushughulikia taka ya mafuta na kudhibiti uvujaji.

Uganda kama nchi iliyogundua mafuta karibu muongo mmoja uliyopita, inahaha kudhibiti taka ya mafuta hasa kwa kuzindua mtambo wa kwanza wa kushughulikia taka hiyo.

Basi ungana na John Kibego aliyehudhuria uzinduzi wa mtambo huo wa Nyamasoga katika wilaya ya Hoima.