Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ulinzi wa amani una changamoto lakini hatukati tamaa: UNAMID

Ulinzi wa amani una changamoto lakini hatukati tamaa: UNAMID

Ikiwa leo ni siku ya walinda amani duniani, mmoja wa walinda amani wa Umoja wa Mataifa anayehudumu huko Darfur nchini Sudan kutoka Tanzania, amesema ni jukumu lenye changamoto nyingi lakini kamwe hawawezi kukata tamaa.

Edith Martin Swebe ambaye ni mshauri wa Polisi kwenye ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika huko Darfur, UNAMID ambako nako wameadhimisha siku hii, ameimbia idhaa hii katika mahojiano baadhi ya changamoto..

(Sauti ya Edith)

Hata hivyo amesema…

(Sauti ya Edith)

Mahojiano kamili na Edith yatapatikana kwenye tovuti yetu.