Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Muziki wa jazz chombo muhimu kwa amani,uhuru na mabadiliko.

Muziki wa jazz chombo muhimu kwa amani,uhuru na mabadiliko.

Muziki wa Jazz umekuwa na historia ya kuleta mabadiliko katika nyanja mbalimabli iiwamo uhuru, mabadiliko ya kijamii na hata amani miongoni mwa jamii.

Muziki huu kadhalika umetumika kama chombo cha kuwaleta watu wa rangi, kabila na hata tabaka mbalimbali pamoja, licha ya kuwapa burudanii anuai na kufikisha ujumbe mujarabu.

Ungana na Grace Kaneya akisimulia umuhimu wa muziki wa jazz katika makala inayoangazia siku ya kimataifa ya muziki huo.