Skip to main content

Simulizi ya kusikitisha ya mtoto aliyenusurika mikononi mwa Boko Haram

Simulizi ya kusikitisha ya mtoto aliyenusurika mikononi mwa Boko Haram

Athari za makundi ya kigaidi na yenye misimamo mikali kama vile Boko Haram ziko dhahiri katika jamii mbalimbali mathalani watoto ambao huathirika kisaikolojiai huku wakikumbana na matukio kadhaa kama vile kuteswa au kuuwawa au kutekwa nyara.Nchini Nigeria kundi hilo la Boko Haram ambalo limekaririwa kufanya vitendo kadhaa vya kinyama ikiwamo uuaji, na hata kuwatumia watoto kama ngao ya kivita na hivyo kusababisha athari kubwa kwa kundi hilo. Ungana na Asumpta Massoi katika makala ya kusisimua inayosimulia mkasa wa mtoto aliyenusurika katika vita.