Onesho maalum la watu wa asili lafana

24 Aprili 2015

Wakati kongamano la 14 la jamii za watu wa asili likiendelea mjini New York nchini Marekani, makundi mbalimbali ya jamii hizo yamekutana kwa ajili ya kuonyesha utamadnuni na mila zao kupitia nyimbo, vyakula na hata mavazi.

Joseph Msami amehudhuria onesho hilo na kutuandalia makala ifuatayo.

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter