Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukosefu wa ajira unadidimiza jamii asilia: Ndinini

Ukosefu wa ajira unadidimiza jamii asilia: Ndinini

Ukosefu wa ajira na misukumo ya kundi rika ni moja ya sababu zinazochangia vijana wa jamii za kiasili kujitumbukiza katika madawa ya kulevya na  mambo mengine hatarishi amesema mwakilishi wa jamii ya wafugaji ya kimasai kutoka Tanzania Ndinini Kimesirasika anayewakilisha pia shirika la maendeleo ya wanawakwe wamaasai MWEDO.Akizungumza katika mahojiano na idhaa hii  Bi Ndinini anaeleza ukubwa wa tatizo.

(SAUTI NDININI)

Kadhalika ameshauri nini kifanyike

(SAUTI NDININI)