Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tunalinda vivutio vya utalii lakini hatuendelezwi: Wamaasai

Tunalinda vivutio vya utalii lakini hatuendelezwi: Wamaasai

Licha ya kutambulika kwa utalii lakini jamii ya wamaasai bado hainufaiki ipasavyo na mapato yatokanayo na utalii wenyewe, ni ujumbe wa jamii asilia ya Kimasai kutoka nchini Kenya.Katika mahojiano na idhaa hii kandoni mwa kongamanao la 14 la jamii za watu wa asili, mwakilishi wa Wamaasai Beatrice Lempaia amesema..

 (Sauti ya Beatrice)

Hata hivyo amesema jamii imefanya mambo mengi ya kimaendeleo na sasa wanachohitaji ni..

(Sauti ya Beatrice)