Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utafiti ni kiungo muhimu katika vita dhidi ya malaria:Kenya

Utafiti ni kiungo muhimu katika vita dhidi ya malaria:Kenya

Ugonjwa wa Malaria unaendelea kupungua idadi ikiwa kutoka wagonjwa watatu kati ya kumi katika hospitali za umma ikilinganishwa na wagonjwa wawili au chini kati ya wagonjwa kumi, hii ni kulingana na Jacinta Opondo, Afisa mipango kitengo cha kudhibiti malaria katika wizara ya afya nchini Kenya alipohojiwa na Geoffrey Onditi wa radio washirika KBC.

Bi. Opondo amesema hatua zilizopigwa ni kutokana na mikakati na sera ambazo zimechukuliwa na serikali ya Kenya na wadau akitaja mafanikio katika kupunguza makali ya malaria  lakini akasema kwamba kuna changamoto mbali mbali Ikiwemo

(Sauti Opondo-1)

Kadhalika ametaja utafiti kama sehemu muhimu ya vita dhidi ya malaria

(Sauti Opondo-2)