Vijana wapaza sauti zao kutaka ujumuishwaji wa maendeleo
Mkutano wa 48 kuhusu idadi ya watu na maendeleo ulioandaliwa na tume ya idadi na maendeleo CPD unaendelea mjin New York ambapo miongoni mwa mada jadiliwa ni nafasi ya vijana katika ajenda ya maendeleo baada ya mwaka 2015.
Brenda Mbaja ni mwakilishi wa mtandao wa barubaru na vijana wa Afrika NAYA kutoka Kenya na katika mahojiano kandoni mwa mkutano huo ameiambia idhaa hii umuhimu wa kujumuisha vijana katika mipango ya maendeleo.
(SAUTI BRENDA)
Vijana wenyewe wana jukumu gani katika kukuza ajira...
(SAUTI BRENDA)