Skip to main content

Kamishna Zeid ziarani Burundi

Kamishna Zeid ziarani Burundi

Kamishna Mkuu wa Umoja wa mataifa anayehusika na haki za binaadamu  Zeid Ra'ad Al Hussein ameanza ziara nchini Burundi ambako atashiriki katika kongamano la kimataifa  juu ya haki za binaadamu katika kanda ya maziwa mkuu litakalofanyika  mjini Bujumbura wiki hii.Muandishi wetu wa  maziwa makuu  Ramadhani Kibuga anatuarifu Zaidi Kutoka Bujumbura.

(Taarifa ya Kibuga)