Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jukwaa la UNCTAD lang'oa nanga leo mjini Geneva

Jukwaa la UNCTAD lang'oa nanga leo mjini Geneva

Wakati jukwaa la siku mbili kuhusu bidhaa za kimataifa la Kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD limefunguliwa leo mjini Geneva Katibu Mkuu wa UNCTAD Mukhisa Kituyi ameiambia Idhaa hii kuwa mkutano huo wa sita wenye kauli mbiu Biashara ya bidhaa:changamoto na fursa, imeangazia ikiwemo mambo mengine kushuka kwa bei ya mafuta na athari zake kwa mataifa hususan yanaeondelea.

(Sauti ya Mukhisa-1)

Aidha amesema mataifa yanayoendelea yanahitaji kuwekeza katika sekta nyingine kando na sekta ya mafuta..

(Sauti ya Mukhisa-2)