Ziara ya balozi wa UNICEF nchini Ethiopia yaibua matumaini kwa watoto

Ziara ya balozi wa UNICEF nchini Ethiopia yaibua matumaini kwa watoto

Kupunguza vifo vya watoto wachanga, makabiliano dhidi ya magonjwa mathalani malaria, na juhudi za elimu kw awatoto ni miongoni mwa mambo yaliyomsukuma balozi mwema wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF Hannah Godefa kufanya ziara nchini Ethiopia.Balozi mwema huyo maalum kwa ajili ya Ethiopia ametumia muda mwingi kuzuru maeneo ya vijiini kujionea hali ya watoto ilivyo. Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.