Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hafla ya kumbukizi ya utumwa yafana

Hafla ya kumbukizi ya utumwa yafana

Kukumbuka utumwa na  biashara ya utumwa katika bahari ya Atlantiki huibua hisia za mateso na udhalilishaji hususani kwa bara la Afrika. Katika kuhakikisha matukio kama hayo yaliyo kinyme na haki za binadamu hayajirudiii, Umoja wa Mataifa umekuwa na matukio kadhaa ikiwamo hafla ya kumbukizi ya biashara hiyo haramu.Joseph Msami ni shuhuda katika hafla hiyo iliyofanyika mjini New York kunako makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Ungana naye katika makala ifuatayo.