Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakuu wa majeshi wa nchi wanachama wa UM kukutana NY

Wakuu wa majeshi wa nchi wanachama wa UM kukutana NY

Mkutano wa kwanza kabisa wa wakuu wa majeshi wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa utafanyika kesho kwenye makao makuu ya umoja huo jijini New York.

Mnadhimu Mkuu wa Ofisi ya Kijeshi ya Idara ya Ulinzi wa Amani ya Umoja wa Mataifa Brigedia Jenerali Ahamed Mohammed amesema lengo ni kuangalia jinsi ya kukabiliana na changamoto mpya zinazoibuka kwenye operesheni za ulinzi wa amani kwa kuwa..

(Sauti ya Brigedia Jenerali Mohammed-1)

Kwa hiyo matarajio ni..

(Sauti ya Brigedia Jenerali Mohammed-2)

Kwa mujibu wa B