Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jitihada za msichana mkimbizi zaleta nuru Uganda

Jitihada za msichana mkimbizi zaleta nuru Uganda

Ukimbizini, watu hujishughulisha na kazi mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya kilasiku na kustawi kiuchumi kando na msaada kutoka kwa mashirika mbali mbali yakiwamo yale ya Umoja wa Mataifa. Miongoni mwa harakati hizo ni klimo na biashara ambapo wakimbizi hushikana mikono.

John Kibego anakuletea mahojiano na  msichana kutoka Jamahuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambaye amepata matumaini baada ya kuajiriwa kuosha sahani kwenye mgahawa wa Betty Kiden,  mkimbizi wa Sudan Kusini aliyeenziwa mwaka huu kwa kujikwamua kiuchumi kwenye kambi ya Kyangwali nchini Uganda ungana naye.

(Mahojiano ya John Kibego na Sarah Mayi)