Skip to main content

Ban alaani mashambulizi ya bomu Al-Hasakah, Syria

Ban alaani mashambulizi ya bomu Al-Hasakah, Syria

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amelaani mashamabulizi yaliyolenga sherehe ya maadhimisho ya Nowruz katika mji wa Al-Hasakah kaskazini mashariki mwa Syria.

Ripoti za awali zimesema kuwa mashambulizi mawili tofauti ya bombu yaliua na kwajeruhi watu wapatao 100, wakiwemo wanawake na watoto.