Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sauti ya furaha yasikika kote duniani

Sauti ya furaha yasikika kote duniani

Tarehe 20 Machi ikiwa ni siku ya furaha duniani, Umoja wa Mataifa umeandaa kampeni ya kukusanya maoni ya watu kutoka duniani kote ikitaka wakijibu swali , Je sauti ya furaha ni ipi? Na ni wimbo gani unaokupatia  furaha zaidi?

Kampeni hiyo iliongozwa na wasanii  mbalimbali wakiwemo Cody Simpson na Pharell Williams.

Katika maadhimisho hayo Priscilla Lecomte ameandaa makala hii ikikuletea sauti za furaha kuanzia Umoja wa Mataifa hadi Afrika Mashariki.