Hatua yatakiwa kudhibiti unywaji pombe holela: Maembe
Suala la unywaji pombe nyakati za kazi ni miongoni mwa mambo yaliyoibuliwa wakati wa mkutano wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani, jijini New York, Marekani na kuelezwa kusababisha kuporomoka siyo tu utendaji kazi bali kuathiri maendeleo .
Idhaa hii ilizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto nchini Tanzania Anna Maembe kujua hali ilivyo nchini mwake.
(Sauti ya Maembe)
Hivyo akasema..
(Sauti ya Maembe)