Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi zaidi zahitajika katika usafi wa mazingira

Juhudi zaidi zahitajika katika usafi wa mazingira

Msimu wa mvua ukiwa umeshika kasi sehemu mbalimbali Tanzania, mazingira yako katika hatari kubwa ya kuharibika ikiwa hatua za makusudi hazitachukuliwa kukabiliana na uchafu katika sehemu mbalimbali.

Jackson Sekiete wa redio washirika Morning Star ya jijini Dar es salaama amemulika hali ya usafi katika jiji hilo na kukutumia makala ifuatayo.