Mkutano wa CSW59 umenifunza mengi: Bi Rukia

Mkutano wa CSW59 umenifunza mengi: Bi Rukia

Mkutano wa 59 wa Kamisheni kuhusu hali ya wanawake unaelekea ukomo wake hapa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, baada ya kuwaleta pamoja watu mbali mbali kwa ajili ya kujadili maswala ya wanawake.

Mmoja wa watu waliohudhuria ni Rukia Mohamad ambaye ni mke wa gavana wa kata ya wajir, Kaskazini Mahariki mwa Kenya. Yeye amesema ushiriki wake katika mkutano huu umemfunza mengi

(Sauti ya Rukia )

Kadhalika ametolea mfano mambo ya kuigwa

(Sauti ya Rukia)