Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR na mipango ya kuimarisha huduma zake Uganda

UNHCR na mipango ya kuimarisha huduma zake Uganda

Katika jitihada za kwanzisha ushirikiano katika kuhudumia wakimbizi na jamii zinazowahifadhi nchini Uganda mwaka ujao, Shirika la Umoja wa Mataifala Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limeimarisha mijadala na viongozi wa serikali za mitaa. Maelezo kamili na John Kibego ambaye amehudhuria mkutano wa mjini Hoima

(Taarifa ya John Kibego)

UNHCR linataka viongozi wa mitaa waelewe na waunge mkono katika utoaji huduma katika miaka mitano ijayo ambao tayari umeridhiwa na serikali ya kati.

Ushirikiano huu unajumuwisha kuleta pamoja rasilimali zao kwa lengo moja la kustawisha wenyeji na wakimbizi wakiepushwa utegemezi wa misaada kutoka ngambo.

Alice Litunya ni Mkuu wa Ofisi ya UNHCR ya Hoima

(Sauti ya Alice Litunya)

Nimeongea na Sultani Edward Oyundu.

(Sauti ya Ayundu Edward)

UNHCR wamekuwa wakiangazia sana miradi endelevu kama vile vuyo vya kiufundi, mbinu za klimo za kisasa, na kujenga vyo vya kiufundi .