Hatuna uwakilishi wa kutosha: Jamii asilia

30 Januari 2015

Licha ya kuzidi kupaza sauti katika mikutano kadhaa jamii za watu asilia zinasema hazipati uwakilishi wa kutosha.Akizungumzia ujumbe wa jamii asilia katika mkutano wa siku tatuwa  jukwaa la jamii hizo na makundi ya wataaalmu, mwakilishi wa kundi la wamasai kutoka nchini Kenya ambaye pia anawakilisha taasisi ya ulinzi kwa wasichana ,  "Keep Girls safe Foundation",  Bibi Sein Lengeju anasisitiza

(SAUTI LENGEJU)

Kadhalika amesema jamii ya kimaasai kwa sasa ina muamko wa elimu lakini kikwazo ni

(SAUTI LENGEJU)