Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Elimu ya chekechea yapigiwa chepuo Msumbiji

Elimu ya chekechea yapigiwa chepuo Msumbiji

Benki ya dunia kwa kushirikiana na washirika wa elimu wanapigia chepuo elimu ya awali, maarufu kwa jina chekechea nchini Msumbiji.

Lengo ni kuhakikisha watoto wengi kadri iwezekanavyo wanajiunga na chekechea kabla ya kuijunga na elimu ya msingi nchini humo.

Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayao.