Heko baraza jipya la mawaziri Somalia: Mtaalamu

28 Januari 2015

Wakati Somalia imepata baraza jipya la mawaziri  baada ya kuvunjwa lile lilokuwa linaleta malumbano kati ya Rais na Waziri Mkuu, Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu Somalia, Tom Bahame Nyanduga amezungumza na idhaa hii akisema amekaribisha uteuzi huo.

(Sauti ya Tom)

Naye msemaji wa ofisi ya Rais nchini Somalia, Daud Aweis akizungumzia hatua hiyo amesema..

(Sauti ya Aweis)

Baraza hilo jipya lina wanawake watatu, Khadra Bashir Ali, Sahra Mohamed Ali Samatar, na  Hawa Hassan Mohamed.

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter