Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Graca Machel azuru Tanzania, apigania haki za wanawake na watoto

Graca Machel azuru Tanzania, apigania haki za wanawake na watoto

Mwanaharakati wa haki za wanawake na watoto na ambaye pia ni mjane wa Rais  zamani wa Afrika Kusini Graca Machel yuko ziarani nchini Tanzania ambapo kupitia shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA anahamaisisha  kampeni dhidi ya mimba na ndoa za umri mdogo.

Hii leo Bi Graca amefanya ziara katika mkoa wa Mara ambao ni moja ya mikoa yenye idadi kubwa ya mimba za utotoni na vitendo vya  ukeketaji ambapo akiwa mkoani humo amesema..

(SAUTI GRACA)