Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Miaka 70 ya UM, Afrika yaendelea kupaza kilio chake: Membe

Miaka 70 ya UM, Afrika yaendelea kupaza kilio chake: Membe

Wakati shamrashamra za kuelekea kilele cha miaka 70 ya Umoja wa Mataifa zikiwa zimeanza, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema kilio cha bara la Afrika ni kuwa na uwakilishi wa kudumu ndani ya Baraza la Usalama.

Akizungumza katika mahojiano na Radio ya Umoja wa Mataifa, Membe amesema licha ya kwamba Umoja wa Mataifa baraza hilo umesaidia kuimarisha amani na usalama bado uwakilishi wa Afrika unapaswa kuangaliwa upya kwa kuwa..

(Sauti ya Membe)

 Waziri Membe akazungumzia mradi wa Umoja wa Mataifa wa kuwa na jengo moja la kutoa huduma zake zote ndani ya nchi wanachama, Delivery As One..

 (Sauti ya Membe)