Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ndoa za utotoni ni kikwazo katika juhudi za kutimiza malengo ya milenia

Ndoa za utotoni ni kikwazo katika juhudi za kutimiza malengo ya milenia

Wakati tukielekea ukomo wa malengo ya milenia mwaka huu lengo namba tano bado halijafikiwa kikamilifu kwani ndoa za utotoni bado ni changamoto inayoikumba jamii.Tanzania ni moja ya nchi ambazo zinakabiliana na changamoto ya ndoa za utotoni ambayo ina athari chungu nzima ikiwemo kuhatarisha afya ya wasichana hawa basi ungana na Rashid Chilumba wa radio washirika Radio Saut katika makala ifuatayo.

(Makala Rashid)