Skip to main content

ICC ilitaka kuyumbisha muelekeo wa Afrika kuhusu maendeleo: Kamau

ICC ilitaka kuyumbisha muelekeo wa Afrika kuhusu maendeleo: Kamau

Kulikuwa na baadhi ya mambo makuu ambayo yalijiri hapa umoja wa Mataifa ambayo yalilenga bara la Afrika, ikiwamo suala la ICC ambapo mwakilishi wa kudumu wa Kenya kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Macharia Kamau amezungumzia mambo makuu akianza kwa kueleza maoni yake kuhusu suala zima la ICC.

(Sauti ya Kamau)