Mama, mtoto waunganishwa tena Sudan Kusini baada ya kupoteana wakiokoa maisha yao
Baada ya dhiki ni faraja. Usemi huu umetimia nchini Sudan Kusini pale mama aliyekata tamaa ya kumuona mtoto wake ambaye alitengana naye katikahaakati za kunusuru maisha katika shambulizi kukutanishwa naye tena.
Kufahamau undani wa kisa hiki ungana na Asumpta Massoi katika makala ifuatayo.