Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bila utashi hakuna amani ya kweli Darfur

Wakimbizi @UNAMID

Bila utashi hakuna amani ya kweli Darfur

Licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa jimboni  Darfur nchini Sudan, UNAMID katika kurejesha amani jimboni humo, ikiwa hakuna utashi miongoni mwa makundi kinzani amnai ya kweli haiwezi kupatikana.

Katika mahojiano na idhaa hii afisa wa UNAMID Jumbe Omari Jumbe amesema UNAMID inatakeleza majukumu yake ya msingi lakini na hivyo ni lazima watu wa Darfur hususani makundi kinzani kutimiza wajibu wao.

(SAUTI JUMBE)