Mkulima wa mihogo asifia matumizi ya zao hilo

23 Disemba 2014

Ukame ni moja ya majanga amabayo yanaathiri maisha ya jamii kwa kuathiri juhudi za kilimo na hivyo kuchangia katika njaa. Kuna baadhi ya mimea hususan ile ya asili ambayo inastahimili ukame na ambayo inapaswa kutumika wakati wa ukame au katika maeneo kame. Moja ya mimea ambayo inanawiri katika ukame ni mihogo ambako Rashid Chilumba wa radio washirika radio SAUT iliko Mwanza Tanzania amevinjari na mkulima ambaye analima mihogo, ungana naye.

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud