Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Dunia kujadili uchumi Geneva

UN Photo/Nicole Algranti
Balozi wa Tanzania katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva Modest Mero. Picha:

Dunia kujadili uchumi Geneva

Mkutano wa kimataifa kuhusu uchumi duniani unaoratibiwa na taasisi ya kimataifa ya jukwaa la uchumi WEF unatarajiwa kufanyika mjini Davos Uswizi mwezi January   ambapo wawakilishi wa serikali, mashirika ya kimataifa, wasomi na viongozi mbalimbali watajadili mada tofauti kuhusu ukuaji wa uchumi.

Akizungumzia juu ya umuhimu wa mkutano huu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika ofisi ya Umoja wa WA matifa mjini Geneva balozi Modest Mero amesema

(SAUTI MERO)

Balozi Mero pia akafafanua mada itakayotolewa na Tanzania.

(SAUTI MERO)

Mkutano huo ambao hufanyika pia kikanda, kwa upande wa Afrika mwaka kuu ulifanyika nchini Nigeria.