Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM wafunga rasmi ofisi yake Burundi

Jeffrey Feltman,mkuu wa masuala ya siasa ndani ya UM (kushoto) akikabidhi bendera ya UM kwa Waziri wa Mambo ya nje wa Burundi mjini Bujumbura.(PIcha@UNDP)

UM wafunga rasmi ofisi yake Burundi

Umoja wa Mataifa umefunga rasmi shughuli za ofisi  yake nchini Burundi, BNUB baada ya kuhudumu kwa miaka 20 ikiwa na jukumu la kujenga ustawi baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vya zaidi ya muongo mmoja.

Kutoka Bujumbura, mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani Kibuga anatuarifu zaidi,