Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania na harakati za kujikwamua kutoa elimu kwa wote

Picha:UNICEFTZ Facebook
Haki ya kuendelezwa inajumuisha pia watoto wote awe wa kike au wa kiume kupata elimu ya msingi.

Tanzania na harakati za kujikwamua kutoa elimu kwa wote

Elimu ya msingi kwa wote ni lengo namba mbili la maendeleo ya milenia (MDGS) linalosisitiza juu ya umuhimu wa kuwa na elimu kwa wote ili kuwezesha maendeleo katika sekta zote. Nchini Tanzania licha ya changamoto kadhaa nchi hiyo inajitutumua kuhakikisha lengo hilo linatimizwa siyo tu kwa ujenzi wa madarasa lakini pia kuongeza kiwango cha uandikishaji shuleni.

Ungana na Jackson Sekiete wa radio washirika Morning Star katika makala ifuatayo.