Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu wa asili wahimiza utunzaji wa misitu, COP20

Watu wa asili wahimiza utunzaji wa misitu, COP20

Wakati mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkutano wa mabadiliko ya tabianchi, COP20 ukiendelea huko Lima, Peru,  jamii za watu wa asili zimetumia jukwaa hilo kupaza sauti juu ya ulinzi wa misitu na utamaduni wa kundi hilo unaotegemea ustawi wa misitu. Basi ungana na Joseph Msami kufahamu kwa kina wanavyotetea rasilimali hiyo.