Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake DRC wajikwamua kiuchumi

©MONUSCO/Sylvain Liechti

Wanawake DRC wajikwamua kiuchumi

Uwezeshaji wa wanawake ambao nchi zao zimepitia katika mizozo ni changamoto kubwa ambayo inahitaji kutatuliwa kwa kupitia wanawake wenyewe pamoja na makundi mengine ya kijamii.Nchini Jamhuri ya Kidemokrasi aya Kongo DRC moja ya nchi yenye historia ya mizozo barani Afrika , wanawake wanajitutumua kuchumi kwa kujihusisha katika shughuli zinazowapa fursa hiyo. Langi Asumani wa radio washirika radio Umoja ya DRC amefanya mahojiano na mama Mari Mlasi wa shirika la haki na maendeleo ya wanawake na watoto